Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Napenda kusema ukweli - cover

Napenda kusema ukweli

Shelley Admont, KidKiddos Books

Publisher: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo kwa njia tofauti?Wasaidie watoto wako wajifunze kuwa waaminifu zadi na kitabu hiki cha kufurahisha cha watoto
Available since: 02/16/2024.
Print length: 34 pages.

Other books that might interest you

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Show book
  • Usiku Mwema Kipenzi Changu! - cover

    Usiku Mwema Kipenzi Changu!

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Alex anaona ni vigumu kupata usingizi, hivyo basi anaanza kutoa visingizio. Baada ya kusoma hadithi ya kulala, baba yake anapendekeza wafanye mpango wa ndoto ambayo angependa kuota baada ya kulala. Ng’amua wanakopelekwa na uwezo wao wa kufikiri huku wakipanga ndoto ya Alex pamoja.
    Hadithi hii ya kulala itasaidia watoto wahisi wanapendwa na wametulia, ikiwaandaa kwa usiku uliojaa amani na usingizi mzuri.
    Show book
  • Napenda kusaidia - Kiswahili - cover

    Napenda kusaidia - Kiswahili

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote wanasaidiana kutengeneza kasri kubwa na nzuri kuliko lile la kwanza. Kila jambo hutokea vizuri tunaposaidiana.
    Show book
  • Kiwavi Msafiri - cover

    Kiwavi Msafiri

    Rayne Coshav, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Hadithi hii inahusu kiwavi ambaye kwa bahati mbaya alienda kwenye safari, akisafiri mbali na nyumbani kwake msituni. Alipitia tukio la kusisimua, kujaribu vyakula vipya na kuchunguza maeneo mapya. Lakini mwishowe, alikuwa na furaha zaidi kurudi nyumbani kwa familia yake.
    Show book
  • Kuwa shujaa Being a Superhero - cover

    Kuwa shujaa Being a Superhero

    Liz Shmuilov, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
    Show book
  • Ninapenda kulala katika kitanda changu mwenyewe - Kiswahili - cover

    Ninapenda kulala katika kitanda...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy, sungura mdogo, hataki kulala kitandani mwake mwenyewe. Kila usiku ananyemelea chumbani mwa wazazi wake na kulala kitandani mwao. Hadi usiku mmoja kitu kisichotarajiwa kilipotokea.... Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na kuifurahisha jamii nzima pia! Inafaa kusomwa kwa sauti kwa watoto wa chekechea au kwa watoto wakubwa kujisomea wenyewe.
    Show book