Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Napenda kusema ukweli I Love to Tell the Truth - cover

Napenda kusema ukweli I Love to Tell the Truth

Shelley Admont, KidKiddos Books

Publisher: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo kwa njia tofauti?Wasaidie watoto wako wajifunze kuwa waaminifu zadi na kitabu hiki cha kufurahisha cha watoto
Available since: 03/13/2024.
Print length: 34 pages.

Other books that might interest you

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Show book
  • Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean - cover

    Napenda kukitunza chumba changu...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
    Show book
  • Nampenda Mama yangu - cover

    Nampenda Mama yangu

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kila mtu humpenda mama yake licha ya umri wao. Katika hadithi hii, sungura watatu Jimmy na kaka zake wakubwa walijaribu kutafuta zawadi bora ya mama yao katika siku yake ya kuzaliwa. Wanataka kuonyesha jinsi wanavyompenda.
    
    Je walibuni suluhisho gani kuonyesha hisia zao? Utajifunza haya yote katika kitabu hiki cha Watoto.
    Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi fupi za wakati wa kulala
    Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa ajili ya kusomea watoto wakati wa kulala na familia nzima.
    Show book
  • Kiwavi Msafiri The Traveling Caterpillar - cover

    Kiwavi Msafiri The Traveling...

    Rayne Coshav, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Hadithi hii inahusu kiwavi ambaye kwa bahati mbaya alienda kwenye safari, akisafiri mbali na nyumbani kwake msituni. Alipitia tukio la kusisimua, kujaribu vyakula vipya na kuchunguza maeneo mapya. Lakini mwishowe, alikuwa na furaha zaidi kurudi nyumbani kwa familia yake.
    Show book
  • Ninapenda Vuli - cover

    Ninapenda Vuli

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Katika kitabu hiki cha watoto, Jimmy, sungura mdogo, anachunguza vuli, msimu wake unaopenda. Anafurahia kuwa nje na kucheza na majani ya rangi. Mvua inapoanza kunyesha, yeye na familia yake hupata shughuli za kupendeza za kufanya nyumbani. Wanatumia siku nzuri pamoja, bila kujali hali ya hewa.
    Show book
  • Ninashukuru I am Thankful - cover

    Ninashukuru I am Thankful

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    ‘Ninashukuru’ inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
    Show book