Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean - cover

Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean

Shelley Admont, KidKiddos Books

Publisher: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
Available since: 10/28/2023.
Print length: 34 pages.

Other books that might interest you

  • Ninapenda Majira ya Baridi - cover

    Ninapenda Majira ya Baridi

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Majira ya baridi huwa ya furaha na majira haya hupendeza na ya kucheza kwenye barafu, lakini Jimmy sungura mdogo hakujitayarisha kwa ajili ya baridi. Alipojifunza jinsi ya kuwa joto anaweza kujiburudisha na kucheza nje na aila wake.
    Show book
  • Kiwavi Msafiri The Traveling Caterpillar - cover

    Kiwavi Msafiri The Traveling...

    Rayne Coshav, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Hadithi hii inahusu kiwavi ambaye kwa bahati mbaya alienda kwenye safari, akisafiri mbali na nyumbani kwake msituni. Alipitia tukio la kusisimua, kujaribu vyakula vipya na kuchunguza maeneo mapya. Lakini mwishowe, alikuwa na furaha zaidi kurudi nyumbani kwa familia yake.
    Show book
  • Napenda Kugawa - cover

    Napenda Kugawa

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa kujiburudisha. Hebu tujue inamaanisha nini kugawana, na kwa nini kinatufanya tuhisi vizuri zaidi!Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima pia!
    Show book
  • Kuwa shujaa - cover

    Kuwa shujaa

    Liz Shmuilov, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
    Show book
  • Ninashukuru I am Thankful - cover

    Ninashukuru I am Thankful

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    ‘Ninashukuru’ inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
    Show book
  • Magurudumu Mbio za urafiki - cover

    Magurudumu Mbio za urafiki

    Inna Nusinsky, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Urafiki ni nini? Jiunge na marafiki watatu wazuri wanapogundua maana ya urafiki wa kweli. Wanaanza mbio, lakini wanaamua kumaliza pamoja, kusaidia rafiki ambaye alipata shida. Kitabu hiki kitawafundisha watoto ujuzi chanya wa urafiki kama kushirikiana, kuungana mkono na kusaidiana.
    Show book