Tosti Kwa Tamaa
LS Morgan
Tradutor Maureen Musatsili
Editora: Tektime
Sinopse
LS Morgan Ava Mendez alifikiri angekuwa na siku kama nyingine yoyote, lakini picha za siri na mtazamaji mgeni zilimweka mwanamke mrembo uso kwa uso na mwanaume ambaye ni mwenye kuvutia na asiye na kulegea katika kile anachokitamani mwishowe: yeye mwenyewe. — Hadithi fupi ya kimapenzi kutoka mfululizo wa "Dhambi" —
