Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Densi Ya Mwezi - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1 - cover

Densi Ya Mwezi - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1

Amy Blankenship, RK Melton

Publisher: Tektime

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata.Maisha ya Envy yalikuwa mazuri. Kaka mzuri, mpenzi mzuri, na kazi bora zaidi msichana angeweza kufanya…mhudumu kwenye baa kwenye kilabu mashuhuri zaidi mjini. Angalu yalikuwa mazuri hadi alipopata simu kutoka kwa mmoja wa rafiki zake mzuri kuhusu mpenzi wake akicheza densi ya wima  kwenye sakafu ya densi pale kwenye Densi ya Mwezi. Uamuzi wake wa kukabiliana naye ulianzisha msururu wa matukio ambayo yalimjulisha kwenye ulimwengu wa kimiujiza uliyokuwa umefichwa chini ya shughuli za kawaida za kila siku. Ulimwengu ambao binadamu wanaweza kugeuka kuwa chui, wafyonza damu kutembea mitaani, na malaika walioanguka kutembea kati yetu. Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata.PUBLISHER: TEKTIME
Available since: 05/09/2023.

Other books that might interest you

  • Mwanga Wa Usiku - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili - cover

    Mwanga Wa Usiku - Mfululizo Wa...

    Amy Blankenship, RK Melton

    • 0
    • 0
    • 0
    Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao.Quinn Wilder alimuangalia kwa macho ya njaa ya simba tangu siku aliyozaliwa. Alipofikia ujana, hamu ya kumdai kuwa mwenzake kuligeuka kuwa mgawanyiko mkubwa kati yake na kaka zake waliyokuwa walinzi wake. Wakati baba zao walipouana vitani, mahusiano kati ya familia hizo mbili zili katika na aliwekwa mbali naye. Akimchungulia kutoka mbali, Quinn anaviona vita vya wafyonza damu kuwa na uzuri wake wakati Kat anasahau kukaa mbali naye. Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Wakati vita vya chini kwa chini vikishika kasi, pia miale ya tamaa kwa kile kilichoanza kama kuteka nyara inageuka haraka kuwa mchezo hatari wa utongozajiPUBLISHER: TEKTIME
    Show book
  • Mwanga Wa Usiku - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili - cover

    Mwanga Wa Usiku - Mfululizo Wa...

    Amy Blankenship

    • 0
    • 0
    • 0
    Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao.
    
    Quinn Wilder alimuangalia kwa macho ya njaa ya simba tangu siku aliyozaliwa. Alipofikia ujana, hamu ya kumdai kuwa mwenzake kuligeuka kuwa mgawanyiko mkubwa kati yake na kaka zake waliyokuwa walinzi wake. Wakati baba zao walipouana vitani, mahusiano kati ya familia hizo mbili zili katika na aliwekwa mbali naye. Akimchungulia kutoka mbali, Quinn anaviona vita vya wafyonza damu kuwa na uzuri wake wakati Kat anasahau kukaa mbali naye. Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Wakati vita vya chini kwa chini vikishika kasi, pia miale ya tamaa kwa kile kilichoanza kama kuteka nyara inageuka haraka kuwa mchezo hatari wa utongozaji
    Show book
  • Vitu Hatari - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 3 - cover

    Vitu Hatari - Mfululizo Wa...

    Amy Blankenship

    • 0
    • 0
    • 0
    Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe.
    
    Kila mmoja husema kuwa kuna njia mbili katika maisha, lakini kwa Jewel Scott, ilionekana kama zote zilikuwa hatari sana. Moja iliongoza hadi kwa Anthony, mbweha-mtu aliyekuwa na wazimu wa kuuwa watu, aliyekuwa pia kichwa cha umati na mchumba wake… kinyume na matakwa yake. Njia ile nyengine inaongoza hadi kwa Steven, simba-mtu aliye mpiga kwa gongo la mpira wa besiboli walipokutana mara ya kwanza. Aliitikia kwa kumteka nyara na kumfanya mwenzake.
    Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni… alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake… kwa ulinzi wake mwenyewe.
    Anthony Valachi alimtamani Jewel kupita kiasi wakati alipokuwa ni zaidi tu ya mtoto, na kwa sheria za umati, alishika usikani wa bibi harusi wake. Ikiwa mtu yeyote alifikiri kuwa wangemuiba kutoka kwake walikuwa wamekosea… kosea kabisa.
    Show book
  • Densi Ya Mwezi - Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 1 - cover

    Densi Ya Mwezi - Mfululizo Wa...

    Amy Blankenship

    • 0
    • 0
    • 0
    Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata.
    
    Maisha ya Envy yalikuwa mazuri. Kaka mzuri, mpenzi mzuri, na kazi bora zaidi msichana angeweza kufanya…mhudumu kwenye baa kwenye kilabu mashuhuri zaidi mjini. Angalu yalikuwa mazuri hadi alipopata simu kutoka kwa mmoja wa rafiki zake mzuri kuhusu mpenzi wake akicheza densi ya wima  kwenye sakafu ya densi pale kwenye Densi ya Mwezi. Uamuzi wake wa kukabiliana naye ulianzisha msururu wa matukio ambayo yalimjulisha kwenye ulimwengu wa kimiujiza uliyokuwa umefichwa chini ya shughuli za kawaida za kila siku. Ulimwengu ambao binadamu wanaweza kugeuka kuwa chui, wafyonza damu kutembea mitaani, na malaika walioanguka kutembea kati yetu. Devon ni chui, aliye na ukorofi kidogo na ni mmoja wa wamiliki wa Densi ya Mwezi. Ulimwengu wake unapinda kwenye mhimili wake wakati anapomuona msichana wa kuvutia mwenye nywele nyekundu akicheza kwenye sakafu ya densi, akiwa na moyo wa ubeuzi na kipiga shoti. Wakati vita vya wafyonza damu vikiwa vinaendelea, Devon aliapa kumfanya mwanamke huyu awe wake… na angepigana hadi kufa ili kumpata.
    Show book
  • Mvivu Sana Kupenda - cover

    Mvivu Sana Kupenda

    LS Morgan

    • 0
    • 0
    • 0
    LS Morgan
    
    George Kolp is too lazy to love, he don’t want to emotionally involve with any woman, but it seems that his bachelorhood and his convictions will collide together with his desires when he meets the beautiful Juliana Fuentes.
    — Erotic tale from the “Sins” series —
    Show book
  • Tosti Kwa Tamaa - cover

    Tosti Kwa Tamaa

    LS Morgan

    • 0
    • 0
    • 0
    LS Morgan
     
    Ava Mendez alifikiri angekuwa na siku kama nyingine yoyote, lakini picha za siri na mtazamaji mgeni zilimweka mwanamke mrembo uso kwa uso na mwanaume ambaye ni mwenye kuvutia na asiye na kulegea katika kile anachokitamani mwishowe: yeye mwenyewe. — Hadithi fupi ya kimapenzi kutoka mfululizo wa "Dhambi" —
    Show book