Join us on a literary world trip!
Add this book to bookshelf
Grey
Write a new comment Default profile 50px
Grey
Subscribe to read the full book or read the first pages for free!
All characters reduced
Boxer na Brandon - cover

Boxer na Brandon

Inna Nusinsky, KidKiddos Books

Publisher: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Summary

Hii ni hadithi inayogusa moyo ya urafiki kati ya mbwa na kijana mdogo.

Wakati mmoja wao anahitaji msaada, daima wako hapo kwa ajili ya kila mmoja wao. Hii ndiyo maana halisi ya urafiki wa kweli.
Available since: 11/11/2023.
Print length: 34 pages.

Other books that might interest you

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Show book
  • Kuwa shujaa - cover

    Kuwa shujaa

    Liz Shmuilov, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
    Show book
  • Mama yangu ni poa My Mom is Awesome - cover

    Mama yangu ni poa My Mom is Awesome

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo. Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha. Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha ,hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao
    Show book
  • Napenda kusaidia I Love to Help - cover

    Napenda kusaidia I Love to Help

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote wanasaidiana kutengeneza kasri kubwa na nzuri kuliko lile la kwanza. Kila jambo hutokea vizuri tunaposaidiana.
    Show book
  • Ninashukuru I am Thankful - cover

    Ninashukuru I am Thankful

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    ‘Ninashukuru’ inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
    Show book
  • Nampenda Mama yangu I Love My Mom - cover

    Nampenda Mama yangu I Love My Mom

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kila mtu humpenda mama yake licha ya umri wao. Katika hadithi hii, sungura watatu Jimmy na kaka zake wakubwa walijaribu kutafuta zawadi bora ya mama yao katika siku yake ya kuzaliwa. Wanataka kuonyesha jinsi wanavyompenda.Je walibuni suluhisho gani kuonyesha hisia zao? Utajifunza haya yote katika kitabu hiki cha Watoto.Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi fupi za wakati wa kulalaHadithi hii inaweza kuwa bora kwa ajili ya kusomea watoto wakati wa kulala na familia nzima.
    Show book