Marianna Bergues
Marianna Bergues, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17, anaishi mjini Narbeth, Pennsylvania. Nyakati zote amependa kuandika. Alipokuwa na umri wa miaka saba, babake alimsimulia hadithi ya rafikiye mjini Paris aliyejitolea kuwatunza wanyama vipenzi wa marafiki zake. Mamake (Roseland Bergues) alimtia moyo wa kuandika rasimu ya hadithi hiyo. Hadithi hio iliandikwa, ikahifadhiwa, na kusahaulika.
Mwaka wa 2014, hadithi hiyo iliyopatikana ilimvutia Marianna na ubunifu wake tena. Mamake na babake...

Oops! we haven't found any books.

