Ninapenda kulala katika kitanda changu mwenyewe I Love to Sleep in My Own Bed
Shelley Admont, KidKiddos Books
Editorial: KidKiddos Books
Sinopsis
Jimmy, sungura mdogo, hataki kulala kitandani mwake mwenyewe. Kila usiku ananyemelea chumbani mwa wazazi wake na kulala kitandani mwao. Hadi usiku mmoja kitu kisichotarajiwa kilipotokea.... Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na kuifurahisha jamii nzima pia! Inafaa kusomwa kwa sauti kwa watoto wa chekechea au kwa watoto wakubwa kujisomea wenyewe.
