Ninapenda kula matunda na mboga - Kiswahili
Shelley Admont, KidKiddos Books
Editora: KidKiddos Books
Sinopse
Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende? Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro. Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake
