Junte-se a nós em uma viagem ao mundo dos livros!
Adicionar este livro à prateleira
Grey
Deixe um novo comentário Default profile 50px
Grey
Assine para ler o livro completo ou leia as primeiras páginas de graça!
All characters reduced
Napenda kusaidia - Kiswahili - cover
LER

Napenda kusaidia - Kiswahili

Shelley Admont, KidKiddos Books

Editora: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Sinopse

Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote wanasaidiana kutengeneza kasri kubwa na nzuri kuliko lile la kwanza. Kila jambo hutokea vizuri tunaposaidiana.
Disponível desde: 31/10/2023.
Comprimento de impressão: 34 páginas.

Outros livros que poderiam interessá-lo

  • Ninapenda kula matunda na mboga I Love to Eat Fruits and Vegetables - cover

    Ninapenda kula matunda na mboga...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende? Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro. Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake
    Ver livro
  • Usiku Mwema Kipenzi Changu! - cover

    Usiku Mwema Kipenzi Changu!

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Alex anaona ni vigumu kupata usingizi, hivyo basi anaanza kutoa visingizio. Baada ya kusoma hadithi ya kulala, baba yake anapendekeza wafanye mpango wa ndoto ambayo angependa kuota baada ya kulala. Ng’amua wanakopelekwa na uwezo wao wa kufikiri huku wakipanga ndoto ya Alex pamoja.
    Hadithi hii ya kulala itasaidia watoto wahisi wanapendwa na wametulia, ikiwaandaa kwa usiku uliojaa amani na usingizi mzuri.
    Ver livro
  • Ushujaawa Mbweha - Tukio la anza-The beginning of a long Adventure - cover

    Ushujaawa Mbweha - Tukio la...

    Susanna Tinga

    • 0
    • 0
    • 0
    Robert ni mbweha kutoka kijiji kidogo kando ya msitu. Tangu utotoni mwake, aliotumaini kuwa siku moja angekuwa mpiganaji katika ikulu ya kifalme. "The Fox Knight" ni hadithi iliyoandikwa kwa upendo ambapo Robert na buku wake mwenye njaa wanachukua jukumu kuu. Je, wataweza kutimiza majukumu yao? Vipingamizi gani watavikabili?
    Ver livro
  • Boxer na Brandon - cover

    Boxer na Brandon

    Inna Nusinsky, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Hii ni hadithi inayogusa moyo ya urafiki kati ya mbwa na kijana mdogo.
    
    Wakati mmoja wao anahitaji msaada, daima wako hapo kwa ajili ya kila mmoja wao. Hii ndiyo maana halisi ya urafiki wa kweli.
    Ver livro
  • Ninapenda kula matunda na mboga - Kiswahili - cover

    Ninapenda kula matunda na mboga...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende? Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro. Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake
    Ver livro
  • Napenda Kugawa - cover

    Napenda Kugawa

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa kujiburudisha. Hebu tujue inamaanisha nini kugawana, na kwa nini kinatufanya tuhisi vizuri zaidi!Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima pia!
    Ver livro