¡Acompáñanos a viajar por el mundo de los libros!
Añadir este libro a la estantería
Grey
Escribe un nuevo comentario Default profile 50px
Grey
Suscríbete para leer el libro completo o lee las primeras páginas gratis.
All characters reduced
Nampenda Babangu - cover

Nampenda Babangu

Shelley Admont, KidKiddos Books

Editorial: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Sinopsis

Jimmy sungura mdogo hakujua kuendesha baiskeli kubwa kama ya ndugu zake. Kwa kweli mara nyingine yeye hutaniwa. Wakati baba anapomwonyesha jimmy jinsi ya kutoogopa kujaribu jambo jipya hapo ndipo furaha inaanza. Kitabu hiki cha watoto ni sehemu ya mkusanyo wa hadithi fupi za wakati wa kwenda kulalaHadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima
Disponible desde: 27/01/2024.
Longitud de impresión: 34 páginas.

Otros libros que te pueden interesar

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Ver libro
  • Napenda Kugawa I Love to Share - cover

    Napenda Kugawa I Love to Share

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa kujiburudisha. Hebu tujue inamaanisha nini kugawana, na kwa nini kinatufanya tuhisi vizuri zaidi!Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima pia!
    Ver libro
  • Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean - cover

    Napenda kukitunza chumba changu...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
    Ver libro
  • Boxer na Brandon - cover

    Boxer na Brandon

    Inna Nusinsky, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Hii ni hadithi inayogusa moyo ya urafiki kati ya mbwa na kijana mdogo.
    
    Wakati mmoja wao anahitaji msaada, daima wako hapo kwa ajili ya kila mmoja wao. Hii ndiyo maana halisi ya urafiki wa kweli.
    Ver libro
  • Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi - cover

    Napenda kukitunza chumba changu...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
    Ver libro
  • Kuwa shujaa - cover

    Kuwa shujaa

    Liz Shmuilov, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
    Ver libro