Begleiten Sie uns auf eine literarische Weltreise!
Buch zum Bücherregal hinzufügen
Grey
Einen neuen Kommentar schreiben Default profile 50px
Grey
Jetzt das ganze Buch im Abo oder die ersten Seiten gratis lesen!
All characters reduced
Mama yangu ni poa My Mom is Awesome - cover

Mama yangu ni poa My Mom is Awesome

Shelley Admont, KidKiddos Books

Verlag: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Beschreibung

Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo. Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha. Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha ,hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao
Verfügbar seit: 13.03.2024.
Drucklänge: 34 Seiten.

Weitere Bücher, die Sie mögen werden

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Zum Buch
  • Good Night Stories Opportunities Vol 1-Hadithi za Usiku Mwema Fursa Juzuu 1 - Ndoto za Kazi: Gundua Unachoweza Kuwa! - cover

    Good Night Stories Opportunities...

    Paul Kumou

    • 0
    • 0
    • 0
    Gundua uchawi wa maneno na picha katika kitabu hiki cha watoto cha kupendeza! Kila ukurasa ni lango la ulimwengu mwingine ambapo maneno huleta uhai na vielelezo huhamasisha mawazo. Iwe ni ufalme wa mbali, msitu wa siri wa chini ya maji, au msitu wa tembo wanaoruka, hadithi katika kitabu hiki zimechaguliwa kwa uangalifu ili kuibua furaha ya kusoma na kuwaonyesha watoto jinsi maneno na taswira zinavyoweza kucheza pamoja. Jiunge nasi kwenye safari hii na ujionee jinsi uwezo wa mawazo unavyofikia mwelekeo mpya!
    Zum Buch
  • Siku njema A Wonderful Day - cover

    Siku njema A Wonderful Day

    Sam Sagolski, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki kuhusu shukrani kinawafundisha watoto kuona mema katika kila kitu. Danny anamwambia Baba kuhusu siku yake na anaelezea kila kitu kilichotokea. Ingawa siku ya Danny haikuenda kama ilivyopangwa, bado aliweza kufurahia. Inatokea kwamba katika kila hali mbaya unaweza kupata kitu kizuri na kitu cha kushukuru.
    Zum Buch
  • Napenda kusema ukweli I Love to Tell the Truth - cover

    Napenda kusema ukweli I Love to...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy sungura mdogo kaingia kwenye matatizo. kwa bahati mbaya, aliharibu maua ya mama anayoyapenda. je itasaidia akidanganya? au ni bora kusema ukweli na kujaribu kutatua tatizo kwa njia tofauti?Wasaidie watoto wako wajifunze kuwa waaminifu zadi na kitabu hiki cha kufurahisha cha watoto
    Zum Buch
  • Napenda kusaidia I Love to Help - cover

    Napenda kusaidia I Love to Help

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote wanasaidiana kutengeneza kasri kubwa na nzuri kuliko lile la kwanza. Kila jambo hutokea vizuri tunaposaidiana.
    Zum Buch
  • Ninashukuru - cover

    Ninashukuru

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    ‘Ninashukuru’ inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
    Zum Buch