Junte-se a nós em uma viagem ao mundo dos livros!
Adicionar este livro à prateleira
Grey
Deixe um novo comentário Default profile 50px
Grey
Assine para ler o livro completo ou leia as primeiras páginas de graça!
All characters reduced
Lucilla Akiwa Mawinguni - cover
LER

Lucilla Akiwa Mawinguni

Massimo Longo e Maria Grazia Gullo

Tradutor Emmanuel Satongima

Editora: Tektime

  • 0
  • 0
  • 0

Sinopse

Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya  kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
Disponível desde: 18/02/2021.

Outros livros que poderiam interessá-lo

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Ver livro
  • Hadithi Iliyo Ndefu Kuliko Zote - cover

    Hadithi Iliyo Ndefu Kuliko Zote

    Rotimi Ogunjobi

    • 0
    • 0
    • 0
    Mtoto mdogo Minnie Makepiece alikuwa na hamu ya kushinda safari ya likizoni ya kutembelea Disneyland kwa kusimulia hadithi iliyo ndefu kuliko zote, kwa hivyo akaenda kuzungumza na Grandpa Makepiece.
    Ver livro
  • Mungu wa Ajabu - cover

    Mungu wa Ajabu

    André Cronje

    • 0
    • 0
    • 0
    Mungu wa Ajabu: Ni utukufu wa wafalme kutafuta siri za dunia na kupata siri za ufalme wa Mungu. Dunia yote imejaa utukufu wake, na viumbe vyote vinapaaza sauti vikitaja jina lake kwa sifa na kuabudu. Mungu wa Ajabu imejaa mashairi na sifa ili kuhamasisha imani yako na mkusanyiko wa mawazo. Kama vile mtunga-zaburi alivyosema, ulimi wangu ni ule wa mwandishi aliye tayari kumpa ukuu mfalme wangu.
    Ver livro
  • Freddie Yule Mbweha Mjaja - cover

    Freddie Yule Mbweha Mjaja

    Rotimi Ogunjobi

    • 0
    • 0
    • 0
    Freddie yule mbweha mjanja hakutaka kuwa chakula cha jioni, na kwa hivyo akauda mpango wa busara
    Ver livro
  • Siku njema A Wonderful Day - cover

    Siku njema A Wonderful Day

    Sam Sagolski, Books KidKiddos

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki kuhusu shukrani kinawafundisha watoto kuona mema katika kila kitu. Danny anamwambia Baba kuhusu siku yake na anaelezea kila kitu kilichotokea. Ingawa siku ya Danny haikuenda kama ilivyopangwa, bado aliweza kufurahia. Inatokea kwamba katika kila hali mbaya unaweza kupata kitu kizuri na kitu cha kushukuru.
    Ver livro
  • Good Night Stories Opportunities Vol 1-Hadithi za Usiku Mwema Fursa Juzuu 1 - Ndoto za Kazi: Gundua Unachoweza Kuwa! - cover

    Good Night Stories Opportunities...

    Paul Kumou

    • 0
    • 0
    • 0
    Gundua uchawi wa maneno na picha katika kitabu hiki cha watoto cha kupendeza! Kila ukurasa ni lango la ulimwengu mwingine ambapo maneno huleta uhai na vielelezo huhamasisha mawazo. Iwe ni ufalme wa mbali, msitu wa siri wa chini ya maji, au msitu wa tembo wanaoruka, hadithi katika kitabu hiki zimechaguliwa kwa uangalifu ili kuibua furaha ya kusoma na kuwaonyesha watoto jinsi maneno na taswira zinavyoweza kucheza pamoja. Jiunge nasi kwenye safari hii na ujionee jinsi uwezo wa mawazo unavyofikia mwelekeo mpya!
    Ver livro