Safari ya Miskit - Stoat Jasiri
Karl Schembri
Narrador Emma Nangila Khakula
Editorial: Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC)
Sinopsis
Miskit, mnyama mdogo aina ya stoat, anapopotea msituni, anajikuta akianzisha urafiki usiotarajiwa na mbweha, konokono, na baadhi ya binadamu waliopotea pia. Safari yao ya pamoja inamwongoza katika kugundua nafsi yake na kuwa na ujasiri, huku ikimfunza namna ya kupata maana katika changamoto na hofu za maisha. Hadithi hii ya kuvutia na yenye kugusa moyo, iliyotokana na mhusika wa Mpango wa Ujifunzaji Bora (BLP) wa Baraza la Wakimbizi la Norway (NRC), inalenga kukuza uelewaji na matumaini kwa watoto waliolazimika kuhama makazi yao na waliopitia matukio magumu. Pia ni nyenzo muhimu kwa walimu na walezi duniani kote, kuwasaidia kushirikisha watoto katika mazungumzo muhimu kuhusu uelewaji wa hisia za wengine, huruma, ustahimilivu, na afya ya akili. Toleo hili la sauti limetumia teknolojia ya sauti jumuishi ili kuunda uzoefu halisi na wa kuvutia wa usikilizaji, ambapo msikilizaji huhisi kama kwamba yupo katikati ya matukio ya hadithi.
Duración: alrededor de 2 horas (02:14:35) Fecha de publicación: 16/04/2026; Unabridged; Copyright Year: — Copyright Statment: —

