Junte-se a nós em uma viagem ao mundo dos livros!
Adicionar este livro à prateleira
Grey
Deixe um novo comentário Default profile 50px
Grey
Assine para ler o livro completo ou leia as primeiras páginas de graça!
All characters reduced
Jinsi Ya Kupata Mme - cover
LER

Jinsi Ya Kupata Mme

Emmanuel Smith

Tradutor Emmanuel Satongima

Editora: Tektime

  • 0
  • 0
  • 0

Sinopse

Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika...kwa chini ya dakika 60
Disponível desde: 23/02/2021.

Outros livros que poderiam interessá-lo

  • Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio na Maisha - cover

    Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio na...

    Wael El-Manzalawy

    • 0
    • 0
    • 0
    ”Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu.”-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa.
    Ver livro
  • Nukuu sabini zenye msukumo ma motisha - cover

    Nukuu sabini zenye msukumo ma...

    Wael El-Manzalawy

    • 0
    • 0
    • 0
    ”Kutofaulu ni uzoefu. Anayeweza kufaidika na uzoefu ndiye atakayekuwa mshindi.” - Wael El-Manzalawy. Nukuu moja laweza badilisha maisha yako. Maisha yako haijasimama palepale. Unaweza kubadilisha maisha yako. Kitabu hiki cha mtandaoni inahusisha nukuu sabini zenye msukumo na motisha ambazo ni misemo ya wafikiriaji wa kimataifa
    Ver livro
  • Mauzauza Ya Raha - Kuchagua Upendo Badala Ya Hofu - cover

    Mauzauza Ya Raha - Kuchagua...

    Ken Luball

    • 0
    • 0
    • 0
    ”Atazamaye nje huota ndoto. Atazamaye ndani, Huamka”-Carl Jung 
    Mauzauza Ya Raha; Kuchagua Upendo badala ya Hofu ni kitabu cha 4 katika ”Tetralojia ya Kuamka”. Kitabu hiki kinafunua njia nyingi za uwongo kupitia maisha ambazo tunaweza kuchukua na jinsi tunaweza kupata amani ya kweli ya ndani na kusudi maishani mwetu.
    Wakati uhusiano wetu na ulimwengu unaotuzunguka unapoundwa kupitia lenzi zinazotawala za hofu, Safari yetu ya Maisha mara nyingi inaweza kuwa ya upweke na udhalimu. Shida zetu hazikomi, mizigo yetu ni nzito, mara nyingi hutuongoza kujijengea vizuizi vya ndani, vya kutulinda kutokana na kiwewe cha kihemko. Bado vizuizi vile vile vinatumika kututenga na kila kitu kinachotuzunguka, pamoja na uhalisia wetu.
     Mauzauza Ya Raha  ni kitabu cha kiroho kinachofunua jinsi ya kukumbatia upendo badala ya hofu, Acha kutafuta maana na furaha ya ndani kupitia shughuli za nje na mahusiano katika ulimwengu; badala yake, kutafuta kutoka ndani.PUBLISHER: TEKTIME
    Ver livro
  • Njia 50 Za Kumfanya Mwanaume Aogope Kukupoteza - cover

    Njia 50 Za Kumfanya Mwanaume...

    Céline Claire

    • 0
    • 0
    • 0
    Hichi kitabu kinahusu jinsi ya kupunguza upatikanaji wako ili kumfanya mwanaume wako aogope kukupotezaTafakari kuhusu hisia zako. Jiulize kwanini unataka kumpuuza mwanaume wako. Je mmegombana? Amekuwa mgumu kuzungumza na wewe? Zingatia kwanini kutenda au kutotenda kwake jambo fulani kunakuudhi. Je wewe peke yako ndiye unayewekeza juhudi kwenye mahusiano yenu? Kumbuka, kama mwanadamu mwenye uhuru, una haki ya kuumia, kuwa na hasira, kukasirika, au kupuuzwa.PUBLISHER: TEKTIME
    Ver livro
  • Leo Nitakufa - Chaguo Maishani - cover

    Leo Nitakufa - Chaguo Maishani

    Ken Luball

    • 0
    • 0
    • 0
    Leo Nitakufa: Chaguo katika Maisha ni kitabu cha 1 katika ”Tetralogy ya Kuamsha”. Inafuata safari ya maisha ya Rue na Mwongozo wake wa Roho, Bodhi. Ingawa Rue aliishi maisha ya ”mafanikio”, alikuwa tajiri, maarufu, alikuwa na familia na mali nyingi za kimwili, Aliamka tu na kugundua Maana ya kweli ya Maisha…Siku Ambayo Anaenda Kufa.Sisi sote ni viumbe wa Kiroho katika safari ya kibinadamu. Rue ametumia miaka 85 iliyopita akiishi maisha ambayo ulimwengu unayaona kuwa ya ‘mafanikio’. Licha ya kuwa na familia na wingi wa mali na umaarufu, Rue anaamka asubuhi moja akisikia sauti ya Bodhi, Mwongozo wake wa Roho, ikimuonyesha jinsi maisha yake yalivyokuwa matupu. Katika ulimwengu ambapo ‘Ego/Self’ ndiye mwandamani wetu na Mwongozo mkuu zaidi, mfuate Rue maishani mwake anapoamka hatimaye na kugundua Maana ya kweli ya Maisha…siku Atakayokufa. Leo Nitakufa: Chaguo Katika Maisha ni riwaya ya kiroho inayofuata njia mbili tofauti zinazopatikana kwa kila mmoja wetu katika maisha yote; njia ya kujifunza ya Ego au njia ya Roho wa milele. Hiki ni kitabu cha 1 katika Tetralojia ya Uamsho, kitabu cha kiroho cha kuamka, kilichotungwa na Bodhi, Mwongozo wa Roho, kinacholenga kushiriki ujumbe wa upendo usio na masharti na matumaini katika ulimwengu ambao mara nyingi umetawaliwa na hofu, chuki, na ubaguzi.PUBLISHER: TEKTIME
    Ver livro
  • Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni - Njia Mbadala Za Matibabu Ya Kisasa - cover

    Tiba Za Kinyumbani Za Kitamaduni...

    Owen Jones

    • 0
    • 0
    • 0
    Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia.
    Ninatumai ya kwamba utayaona maarifa yaliyomo kuwa ya manufaa. Tangu awali mbele zaidi ya ‘taaluma ya matibabu’ kuwa ya kutegemewa hata kwa njia kidogo ukilinganisha na ilivyo leo, binadamu alitegemea matibabu ya mitishamba. Watu wengi walikuwa na maarifa kidogo ya uwezo wa mimea iliyokua karibu na makao yao, na wanawake wakongwe ndio walielewa faida za mimea hii, zaidi ya watu wengine wote. Wanawake hawa mara nyingi wanajulikana kama wenye busara. Ijapokuwa, wao ndio baadaye waliteswa na makanisa yaliyoimarika wakichukuliwa kuwa wachawi. Watu waliokuwa na maarifa ya hali ya juu kuhusu mimea ya maeneo yao walitegemewa sana na jamii, na waliokuwa na uwezo zaidi wangeagiza mitishamba kutoka kwa maeneo ya mbali zaidi. Maarifa hii haijapotea, walakini ni wanaume na wanawake wachache wa kisasa walio nayo, tofauti na vizazi vya wazazi na mababu zao. Inaweza semekana ya kwamba maarifa haya yanafifia. Hata hivyo, pamekuwa na ufufuo wa hamu ya kujua matibabu ya kale, mara nyingi inayojulikana kama tiba za kitamaduni, tiba mbadala au tiba ya asili. Kuna sababu nyingi za jambo hili. Baadhi yake yaweza kuwa kupotea kwa uaminifu wa mfumo ulioko na kutoamini watangazaji; bei ya juu ya madawa ya kisasa; ugumu ambao unaongezeka wa kuweza kutembelea daktari; athari zinayotokana na nguvu ya madawa ya kemikali; na pia kuongezeka kwa hamu ya kurudi kwa maisha isiotegemea kemikali sana. Bila kujali sababu yako ya kupendezwa na mada hii, natumaini ya kwamba utafurahia kijitabu hiki. Maandishi ya kitabu hiki cha mtandao kuhusu namna mbalimbali za tiba za kinyumbani za kitamaduni na mawazo hanayohusiana, kimepangwa kwa sura 19 za takriban maneno 500-600 kila sura.PUBLISHER: TEKTIME
    Ver livro