Ninapenda kulala katika kitanda changu mwenyewe - Kiswahili
Shelley Admont, KidKiddos Books
Editora: KidKiddos Books
Sinopse
Jimmy, sungura mdogo, hataki kulala kitandani mwake mwenyewe. Kila usiku ananyemelea chumbani mwa wazazi wake na kulala kitandani mwao. Hadi usiku mmoja kitu kisichotarajiwa kilipotokea.... Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na kuifurahisha jamii nzima pia! Inafaa kusomwa kwa sauti kwa watoto wa chekechea au kwa watoto wakubwa kujisomea wenyewe.
