Napenda kukitunza chumba changu kiwe safi I Love to Keep My Room Clean
Shelley Admont, KidKiddos Books
Verlag: KidKiddos Books
Beschreibung
Kitabu hiki cha watoto kinawahimiza kuwajibika na kukitunza chumba chao. Fuatilia safari ya sungura mdogo Jimmy na ndugu zake wanavyojifunza kupitia kitabu hiki chenye michoro. Wanajifunza kufanya kazi kwa pamoja, kukisafisha chumba chao, na kuvipanga vijidude vyao.Hadithi hii inaweza kuwa nzuri kusomwa kwa watoto wako kabla ya kulala na inaweza kuwa ya kufurahisha kwa familia nzima pia!
