Unisciti a noi in un viaggio nel mondo dei libri!
Aggiungi questo libro allo scaffale
Grey
Scrivi un nuovo commento Default profile 50px
Grey
Iscriviti per leggere l'intero libro o leggi le prime pagine gratuitamente!
All characters reduced
Kuwa shujaa - cover

Kuwa shujaa

Liz Shmuilov, KidKiddos Books

Casa editrice: KidKiddos Books

  • 0
  • 0
  • 0

Sinossi

Watoto wengi wana ndoto ya kuwa mashujaa. Katika kitabu hiki cha watoto, Ron na rafiki yake mkubwa Maya wanapitia safari ya kufurahisha ili kuwa mashujaa. Wanajifunza sheria muhimu za shujaa ambazo huwasaidia kukamilisha misheni yao ya kwanza. Wanafanya kazi pamoja na kumsaidia kaka wa Maya, kujifunza mambo mapya kuhusu wao wenyewe. Je! unataka kuwa shujaa pia?
Disponibile da: 05/04/2024.
Lunghezza di stampa: 34 pagine.

Altri libri che potrebbero interessarti

  • Lucilla Akiwa Mawinguni - cover

    Lucilla Akiwa Mawinguni

    Massimo Longo, Maria Grazia Gullo

    • 0
    • 0
    • 0
    Mfuatano: Naandika hii kwako Massimo na Maria Grazia ni wachumba na wanaishi maisha halisi ya kifasihi, na wanapenda kumwandikia kila mtu hadithi ya kubuni, bila kujali umri wao.Hili wazo lilizaliwa na wazo la kubadili hadithi walizokuwa wamewatengenezea watoto wao kuwa vitabu.
    Mostra libro
  • Ninashukuru - cover

    Ninashukuru

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    ‘Ninashukuru’ inaonyesha jinsi ilivyo rahisi kushukuru kwa kila jambo maishani, hata mambo madogo. Kuanzia kuamka asubuhi, kufurahia jua kali, kurudi kulala na kumkumbatia dubu umpendaye. Daima kuna kitu cha kushukuru.
    Mostra libro
  • Napenda kusaidia - Kiswahili - cover

    Napenda kusaidia - Kiswahili

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy sungura mdogo alienda baharini na familia yake. Huko anajifunza umuhimu wa kusaidia wenzake. Wakati kasri la mchanga wa jimmy unapobomolewa na wimbi la maji, wote wanasaidiana kutengeneza kasri kubwa na nzuri kuliko lile la kwanza. Kila jambo hutokea vizuri tunaposaidiana.
    Mostra libro
  • Ninapenda kula matunda na mboga I Love to Eat Fruits and Vegetables - cover

    Ninapenda kula matunda na mboga...

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati. Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende? Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro. Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake
    Mostra libro
  • Siku njema A Wonderful Day - cover

    Siku njema A Wonderful Day

    Sam Sagolski, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Kitabu hiki kuhusu shukrani kinawafundisha watoto kuona mema katika kila kitu. Danny anamwambia Baba kuhusu siku yake na anaelezea kila kitu kilichotokea. Ingawa siku ya Danny haikuenda kama ilivyopangwa, bado aliweza kufurahia. Inatokea kwamba katika kila hali mbaya unaweza kupata kitu kizuri na kitu cha kushukuru.
    Mostra libro
  • Ninapenda Majira ya Baridi - cover

    Ninapenda Majira ya Baridi

    Shelley Admont, KidKiddos Books

    • 0
    • 0
    • 0
    Majira ya baridi huwa ya furaha na majira haya hupendeza na ya kucheza kwenye barafu, lakini Jimmy sungura mdogo hakujitayarisha kwa ajili ya baridi. Alipojifunza jinsi ya kuwa joto anaweza kujiburudisha na kucheza nje na aila wake.
    Mostra libro